hii swali naomba tumpe
Mshana Jr
ila kwangu mimi naweza sema "watu hutenda na kubehave vile wanavyovifikiria mostly of the time"
kama unawaza sana biashara iko siku utajishtukia umeanzia mojawapo na uta act as a business person
kama unawaza pombe utainywa tu
kama unawaza ngono there you go......
likewise to every things huwa unawaza itacreate desire........desire itacreate msukumo wakukifanya + behaviour etc
Angalia hiyo picha ya huyo mdada nambiye anawaza nini??