Ni kweli mkuu naona Hilo na masomo ya sayansi ni vigumu kujiajiri maana sio applicable Africa sii bongo tu ndo maana Elon musk alikimbilia USA mapema huku vitu vya kujiajiri ni vilevile tu (nguo,mazao,duka,hardware, electronics,) Ila hamna mtu anayeweza kufunguka kampuni inayojihusisha na Mambo ya kisayansi ni vigumu Sana kutokana na mazingira yetu πππ