mwaka juzi kuna watoto walilipukiwa na bomu kagera walikuwa wakilichezea bila kujua ni bomu na inasemekana ni moja ya mabomu yaliyokuwa yamebaki aridhini baada ya vita.