Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hadi miaka ya 1950, wakaaji wa Venzone, Italia, hubarizi na mabaki ya jamaa zao waliokufa. Wanaishi na maiti majumbani mwao, wanawakalisha kwenye meza zao za kulia chakula, na kuwatoa nje ili wapate hewa safi.View attachment 2456918
[emoji849][emoji849][emoji849] mummification???

Kiongozi tupe somo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…