Vituko mitandaoni. Tupia chako

hivi mtu mwenye picha hiyo ni mtu mmoja au kikundi cha watu? Maana komenti zake zinachekesha na kufikirisha sana. Anaitwa Xavier kama sikosei

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
picha yake inatumika na watu wengine kuandika hizo jokes, kama tu zinavyotumika picha za Mugabe na Iddi Amini kutengeneza quotes ambazo hata hawakusema wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…