Viongozi wa Afrika masikini. Sijui walirogwa na nani. Huyu jamaa ni tajiri kweli kweli lakini bado anapiga hatari. Tatizo hasa ni nini? Mbona vituko namna hii?
Daah hizi mbigili nilizokoma enzi za Jkt mujibu wa sheria tumekula vibukta tunacrawl asee kuna mida mbigili ziliganda kwenye dickhead muda wa kucrawl kale kamshtuko sitosahau