Vituko mitandaoni. Tupia chako

JEURI YA PESA QATAR


974 Stadium imvunjwa rasmi baada ya kupigwa mechi 7 tu za kombe la Dunia 2022.

Ni uwanja wa kisasa uliojengwa kwa makontena 974 na kupewa jina hilo . Ulijengwa rasmi kwa mechi 7 tu na baada ya hapo umevunjwa na makontena hayo na vifaa vingine kutolewa msaada kwa nchi zinazoendelea .

Ni uwanja uliokuwa na uwezo wa kubeba watu 40,000 na ukiwa na thamani ya dola milioni 847 sawa na trilion 1.97 za kitanzania .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…