Alikuwa upande sahihi wa Historia. Haya mamikopo yatakuja kutuelemea tu. Trillions 30+ kwa mwaka mmoja is a lot of money na kibaya zaidi hazifanyi mambo ya kimaendeleo yakaonekana.
Mpaka 2030 sijui tutakuwa tumekopa kiasi gani kwa rate hii. Tuombe Mungu kikombe hiki kitupite vinginevyo tunakoelekea siyo kuzuri
View attachment 2442504