Benki ya Dunia (WB) imeipatia Tanzania mikopo nafuu ya TZS trilioni 1.24 kwa ajili ya miradi miwili, mmoja wa kusambaza umeme vijiji (REA) na mwingine wa kukabiliana na mafuriko katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam.
A! Hilo kosa halina msamaha! Alafu kuna mlokole alikasirika pic ya pickali zina kula tango, nikamuongezea na ndizi, sasa akiiona hii lazima mapepo yamtoke
A! Hilo kosa halina msamaha! Alafu kuna mlokole alikasirika pic ya pickali zina kula tango, nikamuongezea na ndizi, sasa akiiona hii lazima mapepo yamtoke
Tupo corrupt sana mpaka aibu, au kuna kitu wanakihitaji hapo kenya! Au jamaa anataka kukimbia hapo uhamishoni!!? Wageni hua wanakuja na mkate wa buku alafu siku ya kuondoka anzoa store anaondoka nayo