Hawa hawakuwa kwenye lodge. Ilikuwa zoom mama yuko South Africa na kijana inasemekana alikuwa Nigeria. Nadhani kijana ndiye alikuwa anarekodi hiyo zoom call.
Ila CCM/Serikali wajanja sana. Mjadala ulivyohamishiwa kwa Majaliwa badala ya kumulika uzembe wa uokoaji huwezi amini yaani. Ajali nyingine zitatokea na response itakuwa ni ile ile hakuna kitakachobadilika.
Aise kumbe kuna kazi zingine nzuri kweli basi tuu watu hawakwambii ukweli...wao wanawaza hela tuu na sio benefit ya kutomasa mwili wa mwanamke. Jamaa hapo kashaongeza mwaka kwenye lifespan yake🤣🤣🤣🤣