Vituko mitandaoni. Tupia chako

@lyenyi popote ulipo nakusalimia kwa jina la kalynda
Pengine yeye alijiwahi mapema pale mwanzo mwanzo akapiga hela za kutosha. Nilimuona mahali akisema kuwa aliingia tangu June so bila shaka hajatapeliwa. Akili mtu wangu....

Kwenye hizi pyramid schemes ingia mapema uwe huko juu. Ukisubiri mpaka mzunguko wa pesa umekuwa mkubwa pyramid inaelemewa inaporomoka jamaa wanasepa mnabakia kulalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…