Ninahofu ya Mungu kuliko unavyofikiri, usichukulie Kila kitu serious ndo maana Uzi huu unaitwa VITUKO MTANDAONI TUPIA CHA KWAKO. Tupo hapa kufurahi. Kama nimegusa sehemu ya maisha yako, am sorry si Mimi ni mtengeneza memesHapo utaniambia niogope mafuta ya Mwamposa.