Kwahiyo kama anagharamia? Hahahahahahah..... usikute Mwamba anagharamia alafu Show anapata kwa Manati alafu Jamaa hatoi hata Mia mbovu anapewa muda wowote akitaka

Heri maumivu makubwa ya mara moja kuliko maumivu ya taratibu ya kudumu, Mwamba kwanza anajiamini sana nahisi ni jinsi gani Demu anamuweza japo kafumwa..... Jamaa hajiulizi hilo!!!!

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Analiwa bure aliko na hisia wewe unayependwa kwa ajili ya kugharamia unapewa kwa mbinde. Na siku ukishindwa kugharamia ndo imetoka hiyo