Kibonzo cha leo na kipanya
Mkama maziwa mwenyewe kotii la kijani na buti kijani hataki kuelewa anakamua mpaka ng'ombe dume ni huzuni kwa kwelii ...View attachment 2339849
Mzee mmoja alipanda Gari Stend;
Wakati wa kugombania Siti,
Akaibiwa Nauli.
Akasimama katikati ya Gari-Akatangaza; “Jamani Naomba Aliyeniibia Pesa yangu Arudishe Haraka,
Tena Fasta kabla Sijafanya Tukio kama Nililofanya 1977″
Abiria kuskia hivyo wakaogopa.
Ikabidi Mwizi Ajitokeze,
Akarudisha Pesa na kuomba msamaha!
Abiria mmoja akauliza:: Mzee, Kwani 1977 Ulifanya tukio gani? Babu: Si nilienda kwa Miguu mpaka Nyumbani!
Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wabmambo ya Jadi…
Jamaa akaona isiwe taabu, akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde kesi Mahakamani na akitoka arudishiwe zana zake za KAZI kama kawa.
Bibi akampachika jamaa mbususu, alipofika mahakamani kuhojiwa akasema mi sijampa ujauzito kwa sababu nina jinsia ya kike pia…!
Kwa kuthibitisha akajifunua nguo, basi jamaa akashinda kesi.
Jamaa akawa anarudi Home, lakini wakati anakaribia kufika akaona watu wengi wamejaa wanalia.. Akauliza kulikoni akaambiwa “Bibi kakata moto, amefariki”!
MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki MUME : Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari MKE: Sitaki….
mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno yote.. MTOTO: Baba, basi nibusu mimi uninunulie baiskeli BABA: Pumbafuuuu... lala huko mjinga mkubwa weye!
Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita, alikuwa ni mkewe, kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie anavyopendana na mkewe.. JAMAA; wife Mara hii umenimiss tayari jaman? WIFE; kwa nini umekunywa uji woote wa mtoto na umeacha jero tu?!!! Unataka mtoto afe na njaa?!