Baba na Mama
DOGO: Mama, jana Baba Alikuja Na Mmama mwembambaaa Na
Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Bebii...
BABA: (Kwa Hasira): Ebu Wacha Kuongea Na chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!
MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu Alafu
Wakafanya Nini Hawa nguruweβ¦
DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya wewe Na Anko nassoro Wakati Baba Alikua Safari Dodoma...
MAMA: (kwa Hasira): Babako kashasema Uwache
Kuongea Na chakula Mdomoni We umbwa..!