Halafu Kuna watu utasikia mama anaupiga mwingi. CCM badilikeni sisi sio wajinga wa Enzi za nyerere, uongo naona umekuwa sehemu ya maisha yenu. Sasa kwenye 1.5M nyongeza ya asilimia 23 ndoiwe million moja laki tano na elfu 35. Acheni mambo ya kihuni. Hakuna aliyekufosi kutuongezea mshahara kama...