Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwizi​

Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka.
Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi!
Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa:
“chumba cha UKEKETAJI WASICHANA”😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…