Usaliti
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?
MUME: Yaa.. kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala
MKE: Na lipstiki kwenye shati?
MUME: Tulikumbatiana na wageni walitembelea ofisi yetu
MKE: Na hii kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?
MUME: Bwana ee.. wacha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi
MKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani
MUME: Umesema nini wewe?
MKE: Bwana ee.. wacha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi!