Vituko mitandaoni. Tupia chako

Faini​

Polisi alimdaka jamaa anakojoa pembezoni mwa ukuta.
Polisi: Wewe huoni hicho kibao kuwa panakatazwa kukojoa hapa?
Jamaa: nilibanwa sana afande, samahani!
Polisi: Faini yake elfu tano.
Jamaa akatoa noti ya elfu 10.
Polisi: Sasa chenji tunaipataje?
Jamaa: Tafuta chenji unipe changu.
Polisi: Basi kojoa tena…
 
hii stori huijui vizuri! huyo mbibi alifariki hotelini katika mazingira ya kutatanisha akiwa na huyo mshikaji! jamaa kala bingo kama mume kurithi mizigo wa huyo mkewe! sasa unavosema kwa saivi wanaishi italy unazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…