Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuishi kijijini kunahitaji moyo🙄

..unaenda kuoga, unakumbuka umesahau sabuni…
Unaenda kuchukua sabuni, kurudi bafuni unakuta ng’ombe tayari amekunywa maji yote..
Unaamua kufuata maji mengine kisimani, unarudi unakuta mbuzi anamalizia kula sabuni yote🤔😅
 
Na hiyo ndo raha yenyewe sasa. Hekaheka hizi zinayafanya maisha kuwa interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…