Vituko mitandaoni. Tupia chako

"Atake Asitake Tutamlazimisha "Najutia kutoa kauli kama lile Coz sikuwa tayari kusema yale maneno ila Shemeji yake Yesu ndo alinishawishi nianze kusema yale maneno ila kwa kweli Najutia sana, Sikuweza kurudi kwenye nafasi yangu Coz nimepigwa chini Sasa hivi watu wamenipa Jina hilo la Atake Asitake Tutamlazimisha
 
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. INASIKITISHA KIJANA KUMCHALANGA VISU MZAZI MWENZAKE AMBAYE ALIKWENDA KUWAFANYIA SHOPPING WATOTO WAKE. SERIKALI NI YETU. TUNAOMBA VIONGOZI WA KIJIJI CHA MKULWE MSIPUUZIE HILI SWALA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…