Vituko mitandaoni. Tupia chako

Duh! Hatari kabisa ..masingo maza bwana tabu kweli kweli alafu wabishi hao kuolewa kama wake wa pili sijui kwa nini
. Baadhi akili zao wanazijua wao wenyewe

Zamani ilikuwa ni aibu kubwa binti kuzaa nyumbani bila kulewa,,,lakini sasa ni kawaida sanaa. na binti usiye na mtoto na upo kwenu watakushangaa kwanini hauna mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…