Hahaha tafsiri za kufulia zinatofautiana kati ya ntu na ntu, hii ninayoongelea mimi ni ile huna kitu hata kupata mlo mmoja changamoto..hata kama ni maombi vitaombeka tumbo linakwangua