Vituko mitandaoni. Tupia chako

Endelea kuupiga mwingi mama

View attachment 2238838
Ni kweli. Mfumuko wa bei kwa zaidi ya 40% kwa bidhaa ndani ya mwaka mmoja ni jambo kubwa la aibu alilolifanya kuliko wanaume.

Ream ziliuzwa 40k_50k kwasasa zinauzwa 90k. Mafuta ya kupikia yaliuzwa 4k kwa kila lita na sasa ni 7k hadi 8k kwa baadhi ya maeneo.

Anyway, tulimsifia anatukimbiza na sasa ameamua kupitiliza hata kwake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…