adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,573 Reaction score 33,962 May 20, 2022 #110,261 Shimba Ya Buyenze said: Kwenye kifo kuna kujipanga? Click to expand... Nikimaanisha maisha baada ya kifo kujipanga kwa kufanya vitendo bora na vizuri zaidi hapa duniani.
Shimba Ya Buyenze said: Kwenye kifo kuna kujipanga? Click to expand... Nikimaanisha maisha baada ya kifo kujipanga kwa kufanya vitendo bora na vizuri zaidi hapa duniani.
Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,310 Reaction score 5,157 May 20, 2022 #110,262 Baharia ameeleweka
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,438 May 20, 2022 #110,263
McRiyckeel JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 2,127 Reaction score 12,635 May 20, 2022 #110,264 Your browser is not able to display this video.
N Nsamaka JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 6,189 Reaction score 29,609 May 20, 2022 #110,265 Shimba Ya Buyenze said: View attachment 2231224 Click to expand... Weeee labda wa mjini
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 20, 2022 #110,266 Shimba Ya Buyenze said: View attachment 2231220 Click to expand... Aisee
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 20, 2022 #110,267 Shimba Ya Buyenze said: View attachment 2231224 Click to expand... Pisi inakula kama bata
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 20, 2022 #110,268 Nsamaka said: Weeee labda wa mjini Click to expand... We bageshi unakulaga slices ngapi? Mbona sasa hunenepagi?
Nsamaka said: Weeee labda wa mjini Click to expand... We bageshi unakulaga slices ngapi? Mbona sasa hunenepagi?
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 20, 2022 #110,269 carbamazepine said: Nayo si ni kulea au Click to expand... Ni kulea ndiyo. Tena kulea limsambwanda yaweza kuwa ni kazi ngumu zaidi kuliko hata kulea mtoto
carbamazepine said: Nayo si ni kulea au Click to expand... Ni kulea ndiyo. Tena kulea limsambwanda yaweza kuwa ni kazi ngumu zaidi kuliko hata kulea mtoto
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 May 20, 2022 #110,270 Shimba Ya Buyenze said: Tuwacheeeee mjukuu. Tuwachee !!! View attachment 2231127 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba Ya Buyenze said: Tuwacheeeee mjukuu. Tuwachee !!! View attachment 2231127 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 May 20, 2022 #110,271 Namtafuta babu yangu,haonekani tokea juzi,alivyouza kiwanja hajarudi nyumbani Sent using Jamii Forums mobile app
Namtafuta babu yangu,haonekani tokea juzi,alivyouza kiwanja hajarudi nyumbani Sent using Jamii Forums mobile app
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 May 20, 2022 #110,272 Shimba Ya Buyenze said: Watu na dimpozi zao View attachment 2231214View attachment 2231217View attachment 2231218 Click to expand... Dimpozi za mchongo,,,kajiharibu Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba Ya Buyenze said: Watu na dimpozi zao View attachment 2231214View attachment 2231217View attachment 2231218 Click to expand... Dimpozi za mchongo,,,kajiharibu Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 20, 2022 #110,273 mawardat said: Namtafuta babu yangu,haonekani tokea juzi,alivyouza kiwanja hajarudi nyumbaniView attachment 2231894 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huoni kaweka avatar ya Love. Kauza kiwanja kazama katika penzi la supa dupa yutong huko mjini. Ataonekana hela zikiisha Asante mjukuu mwema
mawardat said: Namtafuta babu yangu,haonekani tokea juzi,alivyouza kiwanja hajarudi nyumbaniView attachment 2231894 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huoni kaweka avatar ya Love. Kauza kiwanja kazama katika penzi la supa dupa yutong huko mjini. Ataonekana hela zikiisha Asante mjukuu mwema
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 20, 2022 #110,274 mawardat said: Dimpozi za mchongo,,,kajiharibu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi kumbe kuna za kutengeneza? Hata mimi nilikuwa nashangaa. Dimples gani hizi?
mawardat said: Dimpozi za mchongo,,,kajiharibu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi kumbe kuna za kutengeneza? Hata mimi nilikuwa nashangaa. Dimples gani hizi?
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 May 20, 2022 #110,275 Shimba Ya Buyenze said: Hivi kumbe kuna za kutengeneza? Hata mimi nilikuwa nashangaa. Dimples gani hizi? Click to expand... Wanatengeneza,yaanj ni kafasheni kalikoingia mjini sasa,kuwa na dmp sijui wanaonaje Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba Ya Buyenze said: Hivi kumbe kuna za kutengeneza? Hata mimi nilikuwa nashangaa. Dimples gani hizi? Click to expand... Wanatengeneza,yaanj ni kafasheni kalikoingia mjini sasa,kuwa na dmp sijui wanaonaje Sent using Jamii Forums mobile app
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 May 20, 2022 #110,276 Shimba Ya Buyenze said: Huoni kaweka avatar ya Love. Kauza kiwanja kazama katika penzi la supa dupa yutong huko mjini. Ataonekana hela zikiisha Asante mjukuu mwema Click to expand... Nilijua tu,maisha yote huko kwa supa dupa Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba Ya Buyenze said: Huoni kaweka avatar ya Love. Kauza kiwanja kazama katika penzi la supa dupa yutong huko mjini. Ataonekana hela zikiisha Asante mjukuu mwema Click to expand... Nilijua tu,maisha yote huko kwa supa dupa Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 20, 2022 #110,277 mawardat said: Nilijua tu,maisha yote huko kwa supa dupa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nimebakiwa na laki moja. Kesho nageuza kurudi home Misungwi nisije nikala mpaka nauli. Supa dupa yutongs zinakula hela kama mchwa!
mawardat said: Nilijua tu,maisha yote huko kwa supa dupa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nimebakiwa na laki moja. Kesho nageuza kurudi home Misungwi nisije nikala mpaka nauli. Supa dupa yutongs zinakula hela kama mchwa!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 20, 2022 #110,278
N Nsamaka JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 6,189 Reaction score 29,609 May 20, 2022 #110,280 Shimba Ya Buyenze said: We bageshi unakulaga slices ngapi? Mbona sasa hunenepagi? Click to expand... Naweza ht nikamaliza mkate mzima .
Shimba Ya Buyenze said: We bageshi unakulaga slices ngapi? Mbona sasa hunenepagi? Click to expand... Naweza ht nikamaliza mkate mzima .