Vituko mitandaoni. Tupia chako

Umenikumbusha mbali sana Mtumishi Mwema. Nisamehe kwa yote aisee. Haka kakimbaumbau ni mpaka kifo kitutenganishe yaani.

Na wanasema hujafa hujaumbika. Mimi huyu kweli ni wa kubabaishwa na kakimbaumbau? Mimi huyu?

Mungu Akubariki Mtumishi Mwema. Unategemewa na wengi. Endelea kusimama katika kweli na kuokoa roho zilizopotea. Malipo yako utayakuta kwa Baba yetu mpendeka wewe

 
Kwamba Mtumishi umepatikana mwaka huu? Shikamoo kimbaumbau Cha wenyewe. Mungu awatunze na kuitimiliza safari yenu hii nzuri ya upendo mkuu; mkafanyike baraka na somo kwa wengine. In my prayers


AMEN 🙏🙏

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…