Mama yangu kanitukana "You're the son of bitch" kwakua mimi sipendi mtu amtukane vibaya mama yangu nilimchapa makofi mama, kwakua siko tayari kumuona mama yangu anapigwa na mtu ilibidi nijichape mpaka nikalia. Mama kuona vile alikuja akanichapa sana kwakua hawezi vumilia kuona mimi mwanae napigwa na mtu mwingine. Namimi kwakua sipendi kupigwa na mtu nilimchapa sana mama kwakua kanipga
....