Vituko mitandaoni. Tupia chako

Na kwa huu mfumuko wa bei, kurudi kwenye uchumi wa kati 2025 uko au 2030. Kwa sasa kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, ukihoji utaambiwa vita vya Ukraine
...

Gharama za Maisha zinapanda ilhali kipato kiko pale pale, Tsh 10k ya jana sio Tsh 10k ya leo... Reduced purchasing power


Kisha wakati wanapeana ajira wana ukoo nyie uko mnaambiwa mujiajiri serikali haina fweeeedha bin mapwesaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…