Baada ya kushiba futari nikakumbuka zamani wakati tunaanza kumiliki simu tulikua tunapiga namba 11111111111 tunaambiana ni za majini. Na kweli wakipokea wanaanza kututisha Ila mpaka leo cjui walikua ni kina nani wale
Mda mwingine walikua wanaunguruma kama mashetani vle