Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni matamu sana

Ukihisi joto unajipunguzia nguo kadri utakavyo..

Njaa ikiuma unajua ukoroge kipi cha fasta fasta

Hata ukichelewa kurudi huna wa kukuuliza uliza
Yaani unapika na kula unachojiskia , kuna siku nimefikiria wee nikatamani kutoa kitu cha kuku kama KFC, si nikaingia jikoni aiseee kilichotokea ni KFC ya buza labda😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…