Vituko mitandaoni. Tupia chako

Waheshimiwa wakiingia mjengoni. Kwetu sisi wataalamu wa lugha ya picha, kuna mheshimiwa mmoja hapa amevutiwa sana na kitu fulani

View attachment 2106955
Fahali ya macho.
Kuna vitu mwanaume huwa apitwii,haya ni moja ya maua tuliletewa tuyaangalie,tuyatathini,tuyaguseee na kuyamiliki na ukiweza vunja mifupa....
We muone hapo Mzee anajichekeshaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…