Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwongozo mzuri.
Wengi wetu tutakuja kukumbuka haya wakati tunaingizwa kaburini.
Mtu anaishi Duniani maisha ya kibinafsi, anazikwa kibinafsi kisa ana hela.
Unazikwa na Mali za mamilioni wakati jirani zako wanaishi kwenye umasikini wa kutisha.
 
Labda kama kaburi la huyu mwamba waliliwekea ulinzi 24/7. Dhahabu hiyo wahuni wasingeiachia aisee....

Ubinafsi tu na labda ulimbukeni. Ukishakufa huna thamani tena hata ungezikwaje bado ni chakula cha funza tu



View attachment 2099139
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…