Ni tamu pale mnaanza ila huko mbele yakija ya kuja utakua unapata vurugu za double double.....kwanza wenyewe wakigombana na kuchukiana ndio mtihani utakuangukia uombe uikimbie dunia.
Wanalichafua jeshi la polisi kwa uroho wa mali.
Hii ni baada ya kulazimishwa na wazazi wajiunge na polisi, wakati ndoto zao zilikuwa kutafuta pesa kwa hali na mali.
Sijaonja ya mapacha ila threesome nimepitia na warembo, ni poa kama wanakuonjesha ila msizidi zaidi ya hapo maana huko mbele utakoma mkiwa na string attached halafu yaje ya kuja.
"Nitajitahidi kushirikiana na waandishi wa habari, ikibidi tutaendesha kozi ili kuboresha uwezo wao.
Maana siku za hivi karibuni kila anayejua kuandika barua anajiita mwandishi wa habari"--- Rais mstaafu.
Benjamin William Mkapa.
D'Salaam
Desemba 1995.
Waandishi wa habari miaka hii wanaanzia mitandaoni kupost memes,
Kisha wanapata ajira kwenye vyumba vya habari.
Tuwasamehe bure