Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujambo lakini? Hatujasalimiana muda sasa. Mimi sinywagi bana...nitakuja unipikie supu...ukivunjwa miguu nitakupigania [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
[emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]uwe Karibu tu wakati navunjwa miguu

Sijambo nashukuru Mungu natumai nawe pia hujambo.

Ila usisahau kunipa recipe ya hiyo supu nikupikie[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]uwe Karibu tu wakati navunjwa miguu

Sijambo nashukuru Mungu natumai nawe pia hujambo.

Ila usisahau kunipa recipe ya hiyo supu nikupikie[emoji16][emoji16][emoji16]

Muone! Tena huyo mvunja miguu mwambie kuwa nambipu [emoji16][emoji16][emoji16]

Supu hii haina recipe. Ni kuchemsha tu na kutia pilipili kidogo basi kwisha. Nakuomba tu uje na chapati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…