Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kamwagiwa tindikali huyo. Humuoni alivyokuwa mwanzo na alivyo sasa. Na kamsamehe mkewe wanaishi vizuri tu. Kama ni mimi hapana aisee kama mbwai na iwe mbwai tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Asee! Kwel wat wana mioyo yao, yaan kamwagiwa tndkal na mkewe na bado kamsamehe na wanaish wote.....aseee![emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…