Vituko mitandaoni. Tupia chako

Daah poleni sana Mtumishi. Muendelee tu na hizo dawa mnazotumia + kumonitor hiyo homa; naamini na yeye atakaa tu sawa kwa neema ya Mungu. And shuleni najua tu atafidia fasta akirudi; Mungu azidi kufanya uponyaji kwake, akapate afya; na wewe uzidi kuimarika Tunawaombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…