Sasa Mzee,Uzi ni Visa na Matukio ktk picha,lkn hapa Umeweka picha ya "YESU MWENYE HURUMA",kwa Imani yangu picha hii tunaiheshimu sana.Hivyo Sijapenda kuiweka hapa.Kiimani sijajisikia vizuri.Hivyo uiondoe.Picha ina heshima kubwa Sana.
Ndio ukweli nyie lazima utatongozwa ni kitu ambacho its out of my control sasa unaumiza kichwa cha nini....wee muachie uhuru wake timiza majukumu yako kama kidume wake basi.