Kwa enzi za kisasa sioni haja ya kumlazimisha binti aoelewe, wewe muwezeshe kielimu na kama unao uwezo mpe hadi mtaji ajipange, haya mambo ya kulazimisha yanasababisha wanawake wanateswa sana kwenye hizi ndoa.
Binti wangu yuko chuo na nimepanga lazima apate mgawo wake wa urithi sawia na wanangu wa kiume.