Kwa hiyo ndio tutaona ulimwengu ulitokeaje?Darubini ya kisasa ilitumwa anga za mbali, kwa jina James Webb!
Vile sifa zake zilivyo kama ikifika salama eneo husika na kuanza kufanya kazi kwa ukamilifu, naamini kabisa watu wa dini watarekebisha baadhi ya vifungu kwenye maandiko jinsi ulimwengu ulivyotokea, James Webb anaenda kuwa acha uchi.View attachment 2060890View attachment 2060891View attachment 2060893View attachment 2060894
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is real talk [emoji1666]Hawa walipoteza nafasi ya kuwa mashujaa wa kweli kwa uoga na matumbo yao tu. Walikuwa wapi kuyasema haya wakati Jiwe mwenyewe yupo? Sasa kila mtu anataka kuonekana shujaa lengo nadhani ni kuwa relevant kisiasa na hata kukumbukwa na mama. Mashujaa wa kweli ni akina Tundu Lissu, Bagonza, Shangazi, Lema...na wengineo ambao hawakunyamaza...na wengine iliwagharimu kweli kweli. To hell with these political opportunists!
Amina [emoji1374][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2061446
Amen[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2061446
HowDarubini ya kisasa ilitumwa anga za mbali, kwa jina James Webb!
Vile sifa zake zilivyo kama ikifika salama eneo husika na kuanza kufanya kazi kwa ukamilifu, naamini kabisa watu wa dini watarekebisha baadhi ya vifungu kwenye maandiko jinsi ulimwengu ulivyotokea, James Webb anaenda kuwa acha uchi.View attachment 2060890View attachment 2060891View attachment 2060893View attachment 2060894
Unajidharau mwenyewe!" Kutokana na mazoea ya Wagogo kudharaulika ndio kinachosababisha Mimi kushambuliwa mitandaoni. Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha , sio kwa sababu Nina pungufu lolote Ila kwa sababu Mimi ni mgogo." JOB NDUGAIView attachment 2061395
Ni wapi hapaHuu ubabe sasa View attachment 2061447
...Kuna kitu kimeguswa hapo[emoji23]Mbwembwe tu hakuna kitu [emoji16]
View attachment 2061435