Uchawi ndiyo mila pekee tunayoweza kujivunia.Ni Afrika tu ambako bado watu wanajivunia uchawi. Sisi yaani bado sana tena mno!
Hahahaha,
Siyo huyo.Na kwenye huo uwanja wako hayo mambo ndiyo yamejichimbia hasa. Inaaminika kabisa kuwa bila hivyo huwezi kutoboa.
Mama unayemzungumzia ni yule wa juzi kule Arusha? Inasikitisha sana!
Mkuu binafsi mambo haya hayana nafasi. Imani imeonya sana juu yake lakini yapo.Wewe mwenyewe bro umekiri Umesikia!
Haya mambo hata kama yapo ila sio kama hivi visa vinavyotokea huku kwetu, mf kisa kama hiki cha kulala mbea kuamkia juu ya mti mtwara.
Kwa kweli hata sijui tunakwama wapi. Imagine mtu unaruka na ungo tu yaani. Hakuna cha mafuta wala injini. Mtu analala Mbeya anakuja kuamka yupo kwenye mti Mtwara. Kafikaje hakuna ajuaye. Yaani tumekalia teknolojia ya kiwango cha juu na isiyokubaliana na nadharia za sayansi zilizopo.Uchawi ndiyo mila pekee tunayoweza kujivunia.
Ni vema tuiendeleze, tuiboreshe na tuiweke vitabuni hatimaye tuanzishe vyuo ili watu wa mataifa waje wajifunze.
Jivunie chako.
Sayansi ya NASA ni yao mzee
Huko Usukumani kila kitu ni uchawi. Kila kifo ni uchawi. Hata mtu akigongwa na gari laivu ni uchawi kachukuliwa msukule. Ukifa na UKIMWI ni uchawi.Siyo huyo.
Mwingine kabisa ni kitambo cha miaka zaidi ya 20 iliyopita mzee.
Hata wewe uchawi unajua vizuri.
Maana nimepita pita sana maeneo yenu huko Shinyanga, Mwanza, Geita nimewaona wenyeji wa huko wanavyoupa kipaumbele.
Nadhani kama kuna maeneo ambayo elimu ya uchawi imejikita ni huko.
Nimeshangaa sasa watu wanajenga majengo mazuri sana pande hizo, tofauti na huko nyuma, lakini uchawi bado ni tatizo aisee.Huko Usukumani kila kitu ni uchawi. Kila kifo ni uchawi. Hata mtu akigongwa na gari laivu ni uchawi kachukuliwa msukule. Ukifa na UKIMWI ni uchawi.
Mwaka fulani dogo mmoja aliumwa na mbwa. Tukawaambia mpelekeni akadungwe sindano ya kichaa cha mbwa wakapuuzia. Lilipokuja kubumburuka dogo kachanganyikiwa kichaa cha mbwa hichoo. Madaktari wakampima kweli akakutwa na rabies. Na kwa vile hakuna tiba dogo akafa. Moto sasa ukawaka eti karogwa kachukuliwa msukule. Vurugu tupu!
Ndo maana kule kucharangana mapanga hakutaisha na ndiyo kikwazo kikubwa kimojawapo cha maendeleo japo sasa kidogo hali inabadilika. Zamani kidogo tu watu walikuwa wanaogopa hata kujenga nyumba ya bati kisa kurogwa. Yaani badoooo sanaaa!
Kitaalamu, ni kitu inaitwa dissociative fugue. Ni psychiatric case. Jaribu kugoogle kuhusu hiyo condition kwa uelewa zaidi.Kitaalam kimetokea nini hapo?
Labda tu mabaharia wameshindwa kumridhisha wakaona wamzushie jambo kwa sababu anavyoonekana mkiingia naye ulingoni kunako sita kwa sita ni ama zake au zako!Hizi habari zinazimhusu huyu demu zina uhalisia ?View attachment 2061251
ππππππππ