Darubini ya kisasa ilitumwa anga za mbali, kwa jina James Webb!
Vile sifa zake zilivyo kama ikifika salama eneo husika na kuanza kufanya kazi kwa ukamilifu, naamini kabisa watu wa dini watarekebisha baadhi ya vifungu kwenye maandiko jinsi ulimwengu ulivyotokea, James Webb anaenda kuwa acha uchi.View attachment 2060890View attachment 2060891View attachment 2060893View attachment 2060894
Watu wa dini wako salama....na wataendelea kuwa salama tu kwa muda mrefu.
Mpaka sayansi itakapoweza kuelezea kilichokuwepo kabla ya Big Bang (let there be light!). What banged; and where did it all come from? Given its complexity and delicate balance, why should the universe go to all this trouble to exist in the first place?
Mimi ni mmojawapo wa watu wanaoamini kuwa Sayansi na Dini vinapaswa kukamilishana; na siyo kukinzana moja kwa moja. Na japo kunaweza kuwa na mgongano hapa na pale in fine details but at the end of the day kila mmoja ana nafasi yake katika kuelezea baadhi ya mambo. Sema tu watu wa Sayansi (kwa vile wanaweza kuthibitisha baadhi ya mambo), wao hujiona kuwa sababu zao zina mashiko zaidi.