Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wagombea watatu wa urais wa CCM mwakan1995, wakiwa kwenye kikao maalum cha kuwachekecha.
Mkapa aliibuka kidedea.
Ulikuwa wapi wakati huo?View attachment 2034132

Mtibwa Morogoro, na nilimpigia Kura Mkapa akawa Rais wa JMT. Matukio makubwa ninayoyakumbuka baada ya uchaguzi ule ni kupanda kwa bei ya Sukari
, pia zilishuhudiwa Mvua za El-Nino na kuzama kwa Mv Bukoba
. Yapo mengi, itoshe kwa hayo machache.
 
Mkuu umekula chumvi za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…