Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hawa nao wana mbunge na bado wanaendelea kushiriki katika chaguzi ndani ya Afrika hii?

Viongo-zi,matajri na mastaa wa Afrika wapo kustarehe tu na kuzawadiana fedha na mali wakisubiri WAZUNGU wawape misaada ya kurekebisha ujinga huu

Huu ndiyo uafrika wetu na ule ndiyo UZUNGU wao.

Tutafakariiiiiiiiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…