Ni mjinga, DNA unafanya ya nini, unachokitafuta utakipata, wewe lea watoto ukijua ni wako, tengeneza bond baina yenu muwe kimoja ili hata uzeeni watakuwa wanakucheck.
Sasa ukijua sio wako, hali itabadilika pakubwa, hata kama utaendelea kuishi nao.
Halafu hizo DNA tests sio asilimia 100% accurate.