Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Weweee. It is OK ila leo ningekuwepo ningekuwashia moto ule wa anko cha mtoto. You are a good girl mjukuu. Much respect [emoji1545]Tayari
Sorry[emoji3064]
Ankali bana hapo toa huo wali[emoji8]Uncle chakula chako kinakusubiriView attachment 2003625
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo zao haoMie sina hamu na mwl Ngowi jamani. Hivi kwanini walimu wengi wa hesabu hufundisha kama wanafundisha magenius tupu!! Mie hesabu nilisoma mwisho kidato cha pili.
Babu unashindwa kumtetea mjukuu,nawe unachochea anko akaze[emoji35]yaani sijapendaWeweee. It is OK ila leo ningekuwepo ningekuwashia moto ule wa anko cha mtoto. You are a good girl mjukuu. Much respect [emoji1545]
Mimi ni tolu!Shimba ya buyenze.
Wapi hiyo?Huowe au huolewe eeeh!?
Walimu wa Kiswahili kazanieni sana matumizi sahihi ya h na irabu za Kiswahili. Siyo Kiingereza kitushinde na Kiswahili pia kha!
View attachment 2003627
Anko noma ila mzazi ni mzazi tu [emoji16][emoji16][emoji16]Babu unashindwa kumtetea mjukuu,nawe unachochea anko akaze[emoji35]yaani sijapenda
Ulianza kuzichukia mapema sana, mie msingi walaa sikuzichukia, nilianza kuzichukia sekondari tena kidato cha pili. Ndio ikawa mwisho kuzisoma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo zao hao
Chakushangaza form 1 na 2 nilikuwa napata daraja A na B,Ila nilichukia hesabu tangu standard 5
Heri yako form 2.bora mathe ya chemistry na physics,kuliko mathe kama mathematics.[emoji1751]
Sitorudia kosa,nimepitiwa si kama ile ya mmama wa kihindi nilikutupiaga pm[emoji41],hapa niliogopa[emoji2440][emoji2440][emoji2440]Weweee. It is OK ila leo ningekuwepo ningekuwashia moto ule wa anko cha mtoto. You are a good girl mjukuu. Much respect [emoji1545]
Itakuwa ya gugo hiyo, wewe utakuwa tu kaandunje[emoji1787][emoji1787]Mimi ni tolu!
Nenda PM nimekutumia picha yangu [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]nitalimaliza kibabe[emoji41],,sinaga maneno mingiAnko noma ila mzazi ni mzazi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Msukuma pyua (tena enzi zetu miaka ya 50) kuwa andunje ni nadra sana. Sisi siyo Wapare! [emoji16][emoji16][emoji16]Itakuwa ya gugo hiyo, wewe utakuwa tu kaandunje[emoji1787][emoji1787]
Wapo kibaao.Msukuma pyua kuwa andunje ni nadra sana. Sisi siyo Wapare! [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani ankali,Azam nayo ipo vizuri tu,kuliko......[emoji41]Ndiyo ujue kuwa Simba ni level nyingine ankali.
View attachment 2003629
Tutaamini vipi kama kweli anayo!!Patrick ana bahati [emoji16]
View attachment 2003499