Vituko mitandaoni. Tupia chako

Funzo kabla hujakubali kufunga ndoa geuka nyuma kwanza ndo ufanye maamuz
View attachment 2002435
Kitu nilichojifunza kwenye maisha yangu,binadamu tumeumbiwa kuzoea kitu/mtu/jambo. Jaribu kukumbuka wakati unanunua gari yako ya kwanza/unajenga nyumba etc.
Yaan Ile shauku inakuwa kubwa sana wakati huo, sasaaa kaa kidogo uone hali ikoje.
Hata upande huu uliopost,tunazoea na kuona vyakawaida,ndio maana mtu mwenye mke pisi kali,anachepuka na mwanamke wa kawaida kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…