Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sierra Leone kuna lorry la mafuta limeanguka watu wameenda kuchota limelipuka na kuuwa watu zaidi ya 90

Sasa habari ni hii na comment za watu kwa Ayo
Eti kumbe hata mambele wana njaa kama sisi

Jina tu wanafikiri sijui Ugiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…