Kweli kabisa shimba,nakumbuka nilikuwa na kimwana wa kisukuma,Ile ya long distance relationship,siku nikienda mtembelea ni full burudani,vizawadi vyangu vinapigiwa magoti,nikiwekewa maji bafuni/chakula mezani napigiwa goti,yaani hatarii.
Sema ndio vile ilikuwa fimbo ya mbali,wajanja wakawahi mzigo.