Cha kwanza mali zake zinazohamishika na zisizohamishika zinakamatwa na dalali wa mahakama.
Zinathaniniwa kuona kama zinafanana na madeni anayodaiwa.
Zitauzwa, atalipwa mdeni wake.
Ikiwa hazikidhi haja, mdeni anaruhusiwa kwenda kumuhifadhi jela kwa sharti la kumpelekea chakula mpaka amalize kifungo chake.