Kwa wajuvi wa mambo ya sheria huyu 'mura' akishindwa kulipa pesa na kama hana hata mali za thamani(I mean za kuweza kutaifisha if need be) ndiyo kifuatacho inakuwaje?

Cha kwanza mali zake zinazohamishika na zisizohamishika zinakamatwa na dalali wa mahakama.
Zinathaniniwa kuona kama zinafanana na madeni anayodaiwa.
Zitauzwa, atalipwa mdeni wake.
Ikiwa hazikidhi haja, mdeni anaruhusiwa kwenda kumuhifadhi jela kwa sharti la kumpelekea chakula mpaka amalize kifungo chake.
Endelea kucheka cheka ila hautaamini macho yako siku akiingia box, ukiachia mwanamke wako aendelee kujazwa maneno matamu ipo siku yatamuingia na hatkuja kukuhadithia kilichofuatia....ha ha ha ha!!!